Nahitaji Printer wa Bahasha

Nahitaji Printer wa Bahasha

lawyer2

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
224
Reaction score
67
Salaam..nahitaji kuprint bahasha za A4 na ndogo pamoja na files (case) kwa Logo ya ofisi...Kama kuna mtu anafanya hii pls nitext kwa namba 0689900000.Asanteni sana
 
Kuna sehemu uwa nafanyia kazi hizo ofisi zao ziko Kariakoo mtaa wa sikukuu na makamba nakutumia Namba zao pm
 
Mm ninayo printer mpendwa japo sijajua ndo hyo unayohitaj au lah! 0755661541
 
Back
Top Bottom