God iz bae
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 527
- 1,086
Habari zenu wakuu! Mimi nipo Dar, nahitaji printer aina hiyo nliyotaja hapo juu. Ikiwa mpya itapendeza zaidi. Nitajie bei na mahali unapopatikana.
Natanguliza shukrani[emoji120]
Natanguliza shukrani[emoji120]