jT0078 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2016 Posts 423 Reaction score 331 Nov 21, 2022 #1 Habari wadau! Kama Kuna mtu mwenye POS wakala ya NMB ambaye ameshindwa Biashara anichek fasta nahitaji hiyo kitu. Maana nimeenda Branch za NMB wanasema hawatoi hizo machine kwa Sasa Nipo Dsm 0718290779
Habari wadau! Kama Kuna mtu mwenye POS wakala ya NMB ambaye ameshindwa Biashara anichek fasta nahitaji hiyo kitu. Maana nimeenda Branch za NMB wanasema hawatoi hizo machine kwa Sasa Nipo Dsm 0718290779
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,590 Reaction score 131,304 Nov 21, 2022 #3 NMB ni wapuuzi sana.