AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Habarini wakuu.
Nimekuwa na kampango ka kuanza biashara ya kuprint tshirts, na moja kati ya vitu ninavyovitaka ili niweze kufanikisha biashara hii ni plain tshirts.
Nimejaribu kuangalia mabandiko humu ya plain tshirts naona mengi yana muda mrefu sana na hvyo kupoteza validity ya mabandiko yenyewe.
Nahitaji tshirt za round na v-neck za cotton za rangi tofauti tofauti, lakini kwa sasa hasa ntakuwa natazama materials (co rangi), so ntahtaji kupata sample za tshirt hizo.
Tshirt nisizozitaka ni za material flan inafanana na nylon (ambazo huwa na mng'ao flan).
Kikubwa ninachokitaka wakati huu ni kujaribu kupata supplier ntakapoanza business hii rasmi (bado nipo kwenye hatua za awali sana).
Kwa wale wanazo tshirt za cotton ambazo wataweza supply pasipo shida, tafadhali wanicheck inbox ili nijue tshirt na bei zao.. Pia si mbaya kama wataweka hapa na wengine wakajua bidhaa na bei.
Nina ombi pia kwa wale ambao tayari wanafanya biashara hii wanipe updates/ushauri/tricks ambazo wao binafsi wanazitumia, na kule wanapata supply zao.
Natumai ntakutana na wanaoifanya biashara hii kupitia hapa pia.
Ahsanteni.
Mjasiriamali Mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app