D Duly zura JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 411 Reaction score 37 Mar 7, 2014 #1 Habari wakuu....nahitaji kununua pikipiki kwaajili ya biashara .Budget yangu ni laki nane tu na iwe kwenye hali ya kuridhisha kabisa! Mwenye nayo ani PM.
Habari wakuu....nahitaji kununua pikipiki kwaajili ya biashara .Budget yangu ni laki nane tu na iwe kwenye hali ya kuridhisha kabisa! Mwenye nayo ani PM.
A Austin20 Member Joined Mar 7, 2014 Posts 17 Reaction score 1 Mar 7, 2014 #2 Duly zura said: Habari wakuu....nahitaji kununua pikipiki kwaajili ya biashara .Budget yangu ni laki nane tu na iwe kwenye hali ya kuridhisha kabisa! mwenye nayo ani PM Click to expand... wasiliana na mimi ninao piki piki zipo kwenye hali nzuri
Duly zura said: Habari wakuu....nahitaji kununua pikipiki kwaajili ya biashara .Budget yangu ni laki nane tu na iwe kwenye hali ya kuridhisha kabisa! mwenye nayo ani PM Click to expand... wasiliana na mimi ninao piki piki zipo kwenye hali nzuri
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Mar 7, 2014 #3 kama ya wizi unataka mpya kabisa ni sema hapa wazi!
G ghwamyitu Member Joined Mar 7, 2014 Posts 11 Reaction score 2 Mar 7, 2014 #4 Mimi ninayo naiuza nitafute kwa namba hii 0757537374
P pierre16 Member Joined Jan 18, 2014 Posts 68 Reaction score 47 Mar 8, 2014 #5 ghwamyitu said: Mimi ninayo naiuza nitafute kwa namba hii 0757537374 Click to expand... kama upo mbeya nambie tufanye biashara
ghwamyitu said: Mimi ninayo naiuza nitafute kwa namba hii 0757537374 Click to expand... kama upo mbeya nambie tufanye biashara
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Mar 8, 2014 #6 nyinyi ndio mnahamasisha wizi wa pikipiki....!!!!