Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,647
- 75,837
Kama kichwa kinavyojieleza ndugu nahitaji lap top medium isiwe real min au kubwa iwe size ya kati. Ikiwa ya acer itakuwa nzuri zaidi. Specifications ianzie 2.5 RAM na hard disk kuanzia 300.
Kwa ambae anauza naomba ani pm tuelewane vizuri.
Asanteni.
Kwa ambae anauza naomba ani pm tuelewane vizuri.
Asanteni.