milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 633
Duuh kwa hapo dodoma town mbona unaeza uza tu ukiweza kutengeneza futari la viazi, mhogo, tambi, nyama, pamoja na uji au chai mida ya jioni still uta make, upo wapi wapi town... Kama upo barabara za namba au chakonichako, makole ya chini bado unaeza make dooo..... kikubwa Bei zako ziwe ado ado siyo zile za kisuperstaa
Na pale wanaclose around saa moja amna watu..... Kuanzia pale stand ya saba saba nenda mpaka LPF njoo huku corner mpaka uhindini kunakuwaga giza..... Watu usiku wako chako Ni chako, makole na kule mitaa ya mwanga bar..... daaah nitaimiss dodoma na fursa zilizopo, nikirudi kama mungu akipenda nitawekeza kwenye ujenzi tu na vifaa ujenzi.....maeneo ya sokon ndo nipo