Ulishapata.. kipindi hicho nilikuwa sio mubaba sasa hv mimi ni mubaba na ni pedesheeSifa nnazohitaji:
Umri 40+
awe mfanyabiashara kama ni muajiriwa iwe kazi ya kueleweka
kama ni MBA poa tu (simaanishi masters).
mrefu ili niwe comfortable hata kutembea nae njiani,
akiwa mfupi sawa ila ndo tutakuwa tunatembea kama bata mi mbele ye nyuma!!!!!
sura si kigezo, mwanaume hasifiwi sura
sijaweka sifa nyingi kwani mie sihitaji ndoa....
Pm zitajibiwa kasoro za ID mpya make najua ni wazinguaji
vema ukitumia ID ya siku zote ili iwe rahisi kwangu kujua we ni mtu wa aina gani
na interest zetu kama zinaendana
wadandiaji, washauri na wahubiri siwataki hapa ni love connect!!!!!
Ulishapata nipo tayari..Wakati mi nshaokoka 😹
Mbinguni tutaenda wachache kwakweli 😹Ila🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nami nlikua kibinti, sahivi nshakua mshangazi 😹Ulishapata.. kipindi hicho nilikuwa sio mubaba sasa hv mimi ni mubaba na ni pedeshee
Ulishampata? Kama bado nipe nafasi ya kukukaza pasije pakazibaSifa nnazohitaji:
Umri 40+
awe mfanyabiashara kama ni muajiriwa iwe kazi ya kueleweka
kama ni MBA poa tu (simaanishi masters).
mrefu ili niwe comfortable hata kutembea nae njiani,
akiwa mfupi sawa ila ndo tutakuwa tunatembea kama bata mi mbele ye nyuma!!!!!
sura si kigezo, mwanaume hasifiwi sura
sijaweka sifa nyingi kwani mie sihitaji ndoa....
Pm zitajibiwa kasoro za ID mpya make najua ni wazinguaji
vema ukitumia ID ya siku zote ili iwe rahisi kwangu kujua we ni mtu wa aina gani
na interest zetu kama zinaendana
wadandiaji, washauri na wahubiri siwataki hapa ni love connect!!!!!
Eti Nimejaribu ku figure out hiyo papa, ni nene au nyembamba. 😂😂😂
Yani ashukuriwe alieufufua huu uzi tungeyajulia wap hayaaEeeh papaaa nimpe papa 😹
Kwamba mambo niliyofanya 2013 ndio leo Poor Brain anahangaika nayo, kutafuta mishangazi imlee😹Yani ashukuriwe alieufufua huu uzi tungeyajulia wap hayaa
HahahaYani ashukuriwe alieufufua huu uzi tungeyajulia wap hayaa
Hivyo hivyo tu.. twende sawa au unasemaje mahabuba?!Nami nlikua kibinti, sahivi nshakua mshangazi 😹
Mshangazi + mjomba = presha ya kushukaHivyo hivyo tu.. twende sawa au unasemaje mahabuba?!
bwana mdogo mbona kunichongea?!
Subiri mwenye mali aje ila last seen yake ipo October huko usihofu mkuuKbwana mdogo mbona kunichongea?!