Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,965
Sifa nnazohitaji:
Umri 40+
awe mfanyabiashara kama ni muajiriwa iwe kazi ya kueleweka
kama ni MBA poa tu (simaanishi masters).
mrefu ili niwe comfortable hata kutembea nae njiani,
akiwa mfupi sawa ila ndo tutakuwa tunatembea kama bata mi mbele ye nyuma!!!!!
sura si kigezo, mwanaume hasifiwi sura
sijaweka sifa nyingi kwani mie sihitaji ndoa....
Pm zitajibiwa kasoro za ID mpya make najua ni wazinguaji
vema ukitumia ID ya siku zote ili iwe rahisi kwangu kujua we ni mtu wa aina gani
na interest zetu kama zinaendana
wadandiaji, washauri na wahubiri siwataki hapa ni love connect!!!!!

kwani nani anatania?
Afu mi nataka tuifanye live hapa ili kama tutakubaliana..kila mtu ajue faida za loveconnect,
ndiyo nimekuja hivi nataka kukulea..
Haya mkubwa mwenzako nimejitokeza tena leo niko safarini na niko Hotel muda huu nimelala miguu miwili tu, imenikeraje?
Nashut down computer yangu majibu yako nitayakuta kesho usiku inbox, maana during the day nitakuwa nadrive kufika kule ninakokwenda.
Alamsiki.
Mbona wauza unga wako wengi tu mitaani. Vaa kimini huku ukionyesha kachupi kako, ongea kama hauna akili mitaani, na jifanye mtu wa majuu sana utawapata tu kina Papaaaa kwani wanapenda sana wanawake wenye tamaa na boutique watakufungulia tu, usiwe na hofu. Je, uko tayari kujiua au kuishi maisha ya hofu?
Poa kama upo siriasi.......
hii kali
Hapo Evelyn Salt wamaanisha nini?
Nitakulea au tunaleana?
nimekusubiria sana hapa eti..
jana umepost na kulala kimya kimya..
Lets go on..
Upo tayari kutunzwa?
kwani wewe una miaka mingapi?
papaa wA nn tena beba sembe kuelekea kusini mwa afrika
Hizo risk nyingine tena....!!!!!!
mrs papaa hapa jf bana watakuchosha tu hamna mapapaa. nakushauri tumia muda wa wiki moja kusikiliza miziki ya bolingo ya akina falli ipupa na wengine kuwa makini kusikiliza yale majina ya mapapaa wanaotajwa note sehemu tuletee hapa tukulink nao tena utakuwa na sample space mingi na uhuru wa kuchagua kutokana na sifa ulizoainisha.
Hope ushaielewa eeh???
Nna miaka 24........!!!!!!!
hewaaaaaa...!we unanifaa sana kupunguzia stres!
Nina 39yrz ni mwajiriwa pia mjasiriamali niPM namba yako ya simu nikutafute tuyapange mtoto mzuri
Hahaaaaa..let me put it differently....are ready to share the cost?