Nahitaji Pamba inayotumika kutengenezea mito

Nahitaji Pamba inayotumika kutengenezea mito

iron woman

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
147
Reaction score
19
Habari zenu wadau naomba kujuzwa ile kitu huwa wanaweka ndani ya mito inakuwa milaini( siyo sponge) ni nyeupe kama pamba lakini yenyewe nahisi inakuwa nylon inaitwaje na naweza kuipata wapi nataka nianze kutengeneza mito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sufi nilionaga kusini na huwa inazaa vitunda vikikauka vinapasuka ndio inatoa hizo sufi, hivyo kupata gunia la sufi ni shuguli pevu mkuu ila kule hazifanyiwi chochote wanaziangalia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom