Nahitaji Packaging materials

Nahitaji Packaging materials

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
Habari wapendwa. Nina ulizia wapi inapatika mifuko ya plastiki ya kuhifadhia nafaka (mfano mchele, maharage nk.) kwa ujazo mdogo wa 2kg, 5kg na 10kg. Mfano wa mifuko ninayo ulizia nimeweka picha yake... Shukran
CollageMaker_20181216_092153234.jpeg
 
Back
Top Bottom