Nataka kufanya biashara ya spices mbalimbali za chakula, kama hiliki, mdalasini nilikuwa naomba mnijuze wapi ntapata packages za vikopo vidogo hata kama ni Dar.
Mkuu ebu toa ufafanuzi kidogo hizo package zinauzwa wapi? Na kwa mtindo upi? Mimi nataka nianze mwakani hii biashara kama vipi nipe mawasiliano nikutafute. Nataka nipack mchai chai na pilipili manga etc