Nahitaji old model noah less than 100,000km

Nahitaji old model noah less than 100,000km

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
11,343
Reaction score
13,365
Wakuu,Bajeti yangu ni Milioni 8,mwenye nayo iliyosimama aje kwenye uzi huu tubargain biashara,serious please!!
 
Kwa hizo kms unazozitaka sina hakika km utaipata labda ilofanyiwa dashboard overhaul!
 
Kwa hizo kms unazozitaka sina hakika km utaipata labda ilofanyiwa dashboard overhaul!

Hizi mkuu mbona zikiwa mpya ni mil 12,used in bongo kwa bei hyo ya mil8 inawezekana kaka,
 
Bado sijaipata wazee,wanaoni-pm wengi za kwao sijakubaliana ma hali zake,letenj mizigo inayoeleweka wazee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom