Nahitaji nyumba ya kupanga Mwanza

Ninaweza

Platinum Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
14,919
Reaction score
10,635
Iwe na :-
- inajitegemea umeme na maji (visiwe vya ku share).
- vyumba vya kulala 3 au zaidi.
- iwe mahala popote ambapo napanda gari moja kuelekea Ghana (pasiwe usahilini)
- ujirani mwema.
- iwe sehemu ambapo gari linafika.
Budget yangu ni sh. 2,500,000/= kwa mwaka.
 
Maeneo mazuri anzia buhongwa Mkolani, na nyegezi stand kwa nyuma ( nyamazobe) mpaka nyegezi corner kuna nyumba nzuri sana na bei poa.
Gari moja mpaka Ghana.
 
Maeneo mazuri anzia buhongwa Mkolani, na nyegezi stand kwa nyuma ( nyamazobe) mpaka nyegezi corner kuna nyumba nzuri sana na bei poa.
Gari moja mpaka Ghana.
Nazipataje mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…