Nahitaji nyumba ya kupanga Handeni

Nahitaji nyumba ya kupanga Handeni

TEAM VIBAJAJI

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
1,858
Reaction score
2,303
Habari zenu wakuu,nimehamishiwa kikazi wilaya ya Handeni hivyo nahitaji nyumba nzima yenye uzio wa kuegesha magari kuanzia mawili kama kunamwenye nayo humu basi muhitaji nipo hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom