Chambuso2017
Member
- Feb 14, 2017
- 50
- 22
Nahitaji nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko na vyoo. Iwe maeneo ya Mbezi beach hadi Tegeta au Kunduchi - Dar es salaam. Iwe na maji na umeme na pia iwe na fensi. Bajeti ni laki tatu kwa mwezi. Kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu, nahitaji mkataba wa miezi mitatu mitatu yaani laki tisa kila miezi mitatu. Hata ukihitaji nikulipe laki zako tatu kila tarehe moja pia inawezekana. Malipo ni uhakika. Nasikitika sina bajeti ya dalali. Mwenye nyumba anicheki PM.