Nahitaji nokia n78 au n81

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,489
14,356
kwa yoyote mwenye simu aina hizo mojawapo anaweza kuniuzia naihitaji sana, nipo Dar
 
kwa yoyote mwenye simu aina hizo mojawapo anaweza kuniuzia naihitaji sana, nipo Dar
Mimi ninayo n78 nimeshaitumia kwa mwaka mmoja na spika zake za sim zimekufa lakini funtions nyingine zote zinafanya kazi.Kama utaihitaji tuwasiliane bei sh 450,000/= not negotiable.
 
Ninayo n97 iko ktk hali nzuri iliwahi kufa mkanda nikabadilisha haina tatizo lolote. Bei 400,000/=
 
mimi nina n82 iko poa kila kitu kama utaweza bei 500000 bt negotiatable kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom