Used au mpya mkuu.bei yake.
Used lkn iko ktk hali nzuri yaani ni kama mpya vile,imefungwa ktk network ya vodafone UK, bei ni 450,000 maongezi yapo
Mpya au used mkuu
Mwenye sim kati ya nilizotaja hapo juu tuzungumze.
IPO 625 Ni kubwa PIA nzuri zaidi ya hizo if interested pm me
Mpya tigo inauzwa 290k