ninayo nokia 210 , imetumika mwezi mmoja...ina whatsapp..inakaa na charge zaidi ya siku mbili (hapo ukiwa unachat sana) ina support line 2, nipe elfu 80 tu, dukani inauzwa laki na 30.
ninazo zote mpya dukani nokia 206 dual sim, nokia 301 dual sim card 3.75G
nokia 301 price: 155,000/-
nokia 206 Price: 120,000/- Bicmark Trading | Your Blog Description