Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 583
Nahitaji nifungue kanisa sina ajira nimetoka chuo
Procedure zake miujiza ya uwongo ninayo
Procedure zake miujiza ya uwongo ninayo
Hapo umemaliza kila kitu kilichobaki ni kuweka hema sehem uanze kupiga helaNahitaji nifungue kanisa sina ajira nimetoka chuo
Procedure zake miujiza ya uwongo ninayo
Usajili vipHapo umemaliza kila kitu kilichobaki ni kuweka hema sehem uanze kupiga hela
Asant kwa saportMzee wa kanisa tayari nipo hapa
We anza hivyo hivyo cha maana uwe unasifia chama tawala hutakaa uulizwe mambo ya usajiliUsajili vip
Je huwa kuna manabii fake na wachungaji?.Kabla ya kuanza nakushauri tafuta chuo chochote cha kilutheri, ujifunze theolojia kwanza na saikolojia zake.
Hakuna manabii fake wala original , manabii ni manabii tu cha muhimu maslahi yawepo.Je huwa kuna manabii fake na wachungaji?.
Very smart kid chukua nzito 👊🏼Hakuna manabii fake wala original , manabii ni manabii tu cha muhimu maslahi yawepo.
Tafuta akina mama, wafundishe namna ya kutoa ushuhuda kama mke wa Pastor Tony. Na wawe na uwezo wa kurukaruka wakiigiza kutolewa mapepo. Uwe na suti mbili tatu za kubadilisha.Nahitaji nifungue kanisa sina ajira nimetoka chuo
Procedure zake miujiza ya uwongo ninayo
Kifo kibaya na kifo kizuri tofauti yake ni ipi?Wengi wenu mnaleta mzaha au mnamtazamo hasi kuhusu kanisa kwasababu hamjui mwanzilishi wa kanisa ni nani,pia kuweni specific makanisa mnayotaka kuanzisha ni yapi maana kanisa la Mungu huanzishwa na Mungu mwenyewe na kanisa la shetani analolianzisha shetani,basi kuweni makini maana ukiletea mzaha kanisa la Mungu utakufa kifo kibaya.
Nahitaji nifungue kanisa sina ajira nimetoka chuo
Procedure zake miujiza ya uwongo ninayo
Mwambie atafute kazi, kufungua kanisa sio ajiraOmba mwongozo kwa mtumishi matunduizi mwenye matamanio ya kumwongoa GSM siku moja atoe japo 1B kama mwenyewe anavyoita.
Mwambie atafute kazi, kufungua kanisa sio ajira
Ni rahisi kufurahisha watu humu ndani Kwa sababu hatufahamiani lakini nikukumbushe tu kwamba hiyo ni dhihaka na kumbuka Mungu hadhihakiwi.Nahitaji nifungue kanisa sina ajira nimetoka chuo
Procedure zake miujiza ya uwongo ninayo