Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,167
- 6,295
Hakikisha unakua barabarani, ntakurushia moja la kuonjaMm sina msaada kwako ila naomba moja nionje maana sijala nanasi siku nyingi sana
Sawa sawa kamandaHakikisha unakua barabarani, ntakurushia moja la kuonja
hahahahahaHakikisha unakua barabarani, ntakurushia moja la kuonja
Kontena la size gani? Contena zinatofautiana ukubwa ni Bora ungesema unahitaji nanasi 2000 au 3000 nk msimu wa nanasi ndo huu maelezo yako hayajitoshelezi na wakati huo huo umesema upo njiani kuyafuata kiwangwa....!Nahitaji kabla ya weekend niwe nimeshapata. Muda huu nipo njiani kwenda kiwangwa. Nimeelekezwa kua ndio shambani huko, nikanunue kwa mkulima. Napokea direction za ziada.
Pia kama kuna kampuni inauza kwa jumla tuwasiliane immediately.
Kama wewe ni dalali, tafadhali usibadilishe bei ya bidhaa. Weka gharama yako ya huduma ya udalali separately, ikiwa ndani ya uwezo, nitatumia huduma yako.
Kasema yupo njiani ila hataki maswali...!!!Mtu unaomba konekishenj alafu husemi eneo ulipo au uko tyr kuyafuata kanda yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app