Nahitaji namba ya huduma ya Sony

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
1,013
Reaction score
744
wakuu habarini za muda huu naombeni kwa anayejua namba za mawakala Wa SONY SERVICE CENTER ninashida nao ambao wapo hapa dare salaam TV yangu imezingua imezima ghafla naogopa kupeleka TV yangu kwa mafundi Wa uchochoroni nataka niwatumie Sony wenyewe coz wapo smart zaidi kama TV zao au naomba hata mnielekeze ni wapi zilipo office zao niwafuate maana nyumba ni mama chanja kanuna tangu jana haoni tamthilia ya sultan inayorushwa na azam TV .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mtu/mwanaume wa DAR kama sijakosea.

Maana wengi wenu mnadhani Jf ni ya huko pekee.
 
Mkuu wapelekee tu mafundi. Hilo ni tatizo dogo sana. Kuna kifaa (sikumbuki kinaitwaje) kimeungua.
 
Lwe tafuta mafund wakutengenezee. Skuhz haya matv vtu vingi vinaingiliana na utakuta tatizo dogo tu unataka uende sony( ambao kwa tz hamna) ni watu wanakiwa deals tu ila mafund wao wakawaida tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0716610927
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…