Ndugu wanajamiiforums, naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo tajwa anitafute kwa mawasiliano yafuatayo
0629836915
Private schoolWewe ni mwanafunzi unataka kufundishwa au una shule unataka kumpatia kazi ya kufundisha wanafunzi...?
Naomba kufaham mkuu.
Shukran.
Kiwango gani cha elimu unacho?Dau liwe nono maana kwa sasa wana kiburi cha Serikali kutoa Tangazo ka Ajira. Fanya dau lako lizidi hilo ambalo watalipwa na Serikali.
Alafu tafuta hata wataalamu ambao hawana hiyo Diploma lakini wanashusha madude hatari.
Private school
Mimi nipo tayari sehemu yoyote ilipo shuleNdugu wanajamiiforums, naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo tajwa anitafute kwa mawasiliano yafuatayo
0629836915
Nitafute kwa hiyo namba hapo!!!Mimi ni mwalimu wa history na nina diploma ya education. Hiyo shule yako iko wap
Ndugu wanajamiiforums, naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo tajwa anitafute kwa mawasiliano yafuatayo
0629836915
Mimi nasomea bachelor ya " education with mathematics & IT" chuo cha NIT .je naweza kupata part time shuleni kwako? Kiwango cha elimu ya kati ni " Ordinary Diploma of Engineering in Electrical Engineering' kuttoka DITNdugu wanajamiiforums, naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo tajwa anitafute kwa mawasiliano yafuatayo
0629836915
DEADLINE 19/12/2016
Mm nimemaliza mwaka huu nina bachelor ya education kwenye masomo ya physics/chemistry vip naweza pata?Ndugu wanajamiiforums, naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo tajwa anitafute kwa mawasiliano yafuatayo
0629836915
DEADLINE 19/12/2016