hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 1,008
- 2,184
Hili GEPU ndio wengi wanaingia mitini engine 2 zishashuka tayari chuma bado IPO road, apart from all that what about your baby daddies wapo Hai au wameshakufa? Na km wameshakufa unaweza kushea picha za MAKABURI yao? Ili kusudi mlengwa ajihakikishie kua kiwanja hiki hakina MGOGORO wa aina yoyoteNina watoto 2
Kweli kabisa, hapo kabla mechi kuanza tayari 2-0.Anatafuta kina mayele wengine waongeze idadi ya magoli mpaka 5-0 kazi anayo bibie.Miaka 32 lakini bado unachagua muonekano!! Una safari ndefu sanaaa๐คธ
Badae uje kusema mabinti zako wamelogwa hawaolewi.Sifa ya mwanaume ni Heshima na โUwajibikaji
Urefu, ufupi, wembamba hivo ni vitu extra havina hata thamani
MshikiWifi nmekukosa kaka zangu walikosea nini๐ญ๐ญ๐ญ
Kaka zangu njooni tutetee kdogo
Kiaje sijakuelewaBadae uje kusema mabinti zako wamelogwa hawaolewi.
Kweli inafikirisha Sana.Wanawake mbona hampendani lakini.
Watoto watakuja kuwa wafupi kama mtungi wa gesi ๐๐๐๐Kiaje sijakuelewa
Watoto watakuja kuwa wafupi kama mtungi wa gesi.
Wanadai hatupo romantic mkuuWazee wa migombani huwataki ndio wamekufanya single mother.
Mungu ni wetu soteWatoto watakuja kuwa wafupi kama mtungi wa gesi ๐๐๐๐
Kabisa mkuu japo kuna jamii za watu wafupi kiasili.Ufupi unachangiwa pia na lishe
Thibitisha!Mungu ni wetu sote
Nitafute jukwaa la dini๐คธThibitisha!