neysta
Member
- Oct 21, 2018
- 43
- 65
- Thread starter
- #21
Jitahidi ufanye mazoezi, ubonge sana si mzuri kiafyaHivi nyanda za juu kusini ni pamoja na sisi wa Iringa eeh?, huu Ubonge sana tu ndyo shida dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi ufanye mazoezi, ubonge sana si mzuri kiafyaHivi nyanda za juu kusini ni pamoja na sisi wa Iringa eeh?, huu Ubonge sana tu ndyo shida dah
Kumbe nakidhi vigezo kabisaa
Kwahiyo hunitaki mkuu 🙄
Karibu, watu wa pande hizo huwa tunaendana sana. Wengi wao ni wakarimu na wastaarabuKumbe nakidhi vigezo kabisaa
Mh, sisemi kwa ubaya. Sipendelei mtu mnene sana.Kwahiyo hunitaki mkuu
Thank you kwa ushauri ntaufanyia kazi, kila rakheri upate hitaji lako, ukikosa kabisa tuone tunafanyaje huenda ntakua tayari nishapungua maana naanza diet sasaMh, sisemi kwa ubaya. Sipendelei mtu mnene sana.
Fanya mazoezi ya kawaida tu halafu uwe na discpline katika kula.
Mimi mwenyewe 8 years ago hv nilikuwa na mwili sana kwa sababu nilibadilisha lifestyle halafu niliridhika mno. Ila mbeleni nilianza kuwa mvivu na mzembe, kichwa kuuma, kusahau sahau, oversweating na the like
Nilienda hos, daktari akanishauri kwa urefu wangu nisizidi kilo 78.
Nikalifanyia kazi hilo, nikapambana kweli kweli. Naupenda mwili wangu, sasa hivi nimekuwa mwepesi,....na sijaumwa mwaka wa tano sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you kwa ushauri ntaufanyia kazi, kila rakheri upate hitaji lako, ukikosa kabisa tuone tunafanyaje huenda ntakua tayari nishapungua maana naanza diet sasa
😀😀 naanza diet aisee maana nakosa Husband hivi hiviBonge nyanya kwenye ubora wako
...Twenzetu Joggin...
naanza diet aisee maana nakosa Husband hivi hivi
😀😀 naanza diet aisee maana nakosa Husband hivi hivi
HahahahahaaMkuu chonde chonde, wakija wengi nami nipe assist, nipo sub. Nami nahitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaHata mimi nina sifa hizo kasoro miaka ni 32, pia nipo serious nahitaji Mke.
Sent using Jamii Forums mobile app