Otikiii 😬 Ehh Leo ndo Leo kivumbi LeoNahitaji mwanaume wa kunitimizia hili.na pia awe na shida na kama hii pia yaani Nawe anahitaji mtoto.
I have been so lonely,naamini mtoto atakua faraja yangu. Na kunisaidia kuishi Maisha yenye kusudi,na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi
Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina mwenza? Ni kweli Sina,sijabahatika kupata mwenza mwenye utu,uelewa na.changamoto ni nyingi sana.siwezi kuelezea zote.
Kwa upande wangu Nina tatizo katika mfumo wangu wa nerve,nimekuwa na disability.mojawapo imenipata ukubwani.so mahusiano na mapenzi,sijui dates mi siwezi,nimezoea kuishi bila mwanaume.
Angalau niwe na mtoto nayo itanisaidia kuleta umaana kwenye Maisha,atakuwa kampani na rafiki kwangu,ndugu pia msaada In the future.
Kwa ufupi nahitaji mtu mwenye nia ya dhati,nae awe na uhitaji huo.
Awe anajishughulisha kujiingiza kipato Kwa shughuli halali
Awe mru mzima anaejielewa na kujua wajibu wake kama baba
Sihitaji mapenzi yako.mapenzi yako yaweke Kwa mtoto
Pesa zako wekeza katika kumtunza mtoto
Mimi Sina kipato,najitafuta na nnachopata ni kidogo.
-naomba malezi ya mtoto yabase kote kwenye pande zote mbili.muda,kujali,nk
- hata ukiingia kwenye mahusiano au ndoa haina tatizo usimsahau mwanao.
Mengine mengi tutajuzana na muhusika
Niko tayari kurekebishwa na kukosolewa kuhusu mawazo yangu.
Nicheki inbox ,umepata mme tayari
Sawa nae kapata anicheki tuHataki mume anataka tu mtoto
Karibu pmNahitaji mwanaume wa kunitimizia hili na pia awe na shida na kama hii pia yaani naye anahitaji mtoto.
I have been so lonely, naamini mtoto atakuwa faraja yangu. Na kunisaidia kuishi maisha yenye kusudi, na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi.
Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina mwenza? Ni kweli Sina, sijabahatika kupata mwenza mwenye utu, uelewa na changamoto ni nyingi sana. Siwezi kuelezea zote.
Kwa upande wangu Nina tatizo katika mfumo wangu wa nerve, nimekuwa na disability. Mojawapo imenipata ukubwani so mahusiano na mapenzi, sijui dates mi siwezi, nimezoea kuishi bila mwanaume.
Angalau niwe na mtoto nayo itanisaidia kuleta umaana kwenye Maisha, atakuwa kampani na rafiki kwangu, ndugu pia msaada In the future.
Kwa ufupi nahitaji mtu mwenye nia ya dhati, nae awe na uhitaji huo.
Awe anajishughulisha kujiingiza kipato Kwa shughuli halali
Awe mtu mzima anaejielewa na kujua wajibu wake kama baba
Sihitaji mapenzi yako, mapenzi yako yaweke Kwa mtoto
Pesa zako wekeza katika kumtunza mtoto
Mimi Sina kipato, najitafuta na nnachopata ni kidogo.
-Naomba malezi ya mtoto yabase kote kwenye pande zote mbili, muda, kujali,nk
- Hata ukiingia kwenye mahusiano au ndoa haina tatizo usimsahau mwanao.
Mengine mengi tutajuzana na muhusika
Niko tayari kurekebishwa na kukosolewa kuhusu mawazo yangu.
Je huna kipato kutokana na tatizo la afya yako?Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili na pia awe na shida na kama hii pia yaani naye anahitaji mtoto.

Unavuna unachokipanda.Wewe itakuwa unaongelea vijana ambao ni jobless wa kizazi hiki ila hao pia sio wengi. Wanaume ambacho hawataki ni fling kuleta mtoto. Kama unataka mahusiano ya kuleta mtoto niweke wazi kabisa maana hatuwezi kuzaa zaa na kila mtu.
🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️Aiseee babu hufai wewe utaja fia kifuani kwa mbichi.Sibagui wala sichagui mkuu..
Ng'ombe hazeeki maini mkuu
😂😂😂😂
Mkuu hawa watoto ndo wanaotufaa katika umri huu
Hapa nimechukua na pipi kifua kwa ajili ya haka katoto ka 2000🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️Aiseee babu hufai wewe utaja fia kifuani kwa mbichi.
Astaghfirulaaahiiii!!Hapa nimechukua na pipi kifua kwa ajili ya haka katoto ka 2000
Sina nia mbaya na wala sijauliza kwa ubaya.LENGO lako ni lipi kuuliza hivi?
Huwezi kumtumia mtoto au kutaka kuzaa sababu ya furaha Yako binafsi. Ni kudharau uumbaji na ubinafsi. Selfish.Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili na pia awe na shida na kama hii pia yaani naye anahitaji mtoto.
I have been so lonely, naamini mtoto atakuwa faraja yangu. Na kunisaidia kuishi maisha yenye kusudi, na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi.
Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina mwenza? Ni kweli Sina, sijabahatika kupata mwenza mwenye utu, uelewa na changamoto ni nyingi sana. Siwezi kuelezea zote.
Kwa upande wangu Nina tatizo katika mfumo wangu wa nerve, nimekuwa na disability. Mojawapo imenipata ukubwani so mahusiano na mapenzi, sijui dates mi siwezi, nimezoea kuishi bila mwanaume.
Angalau niwe na mtoto nayo itanisaidia kuleta umaana kwenye Maisha, atakuwa kampani na rafiki kwangu, ndugu pia msaada In the future.
Kwa ufupi nahitaji mtu mwenye nia ya dhati, nae awe na uhitaji huo.
Awe anajishughulisha kujiingiza kipato Kwa shughuli halali
Awe mtu mzima anaejielewa na kujua wajibu wake kama baba
Sihitaji mapenzi yako, mapenzi yako yaweke Kwa mtoto
Pesa zako wekeza katika kumtunza mtoto
Mimi Sina kipato, najitafuta na nnachopata ni kidogo.
-Naomba malezi ya mtoto yabase kote kwenye pande zote mbili, muda, kujali,nk
- Hata ukiingia kwenye mahusiano au ndoa haina tatizo usimsahau mwanao.
Mengine mengi tutajuzana na muhusika
Niko tayari kurekebishwa na kukosolewa kuhusu mawazo yangu.
HAPA umekorogakoroga Mwandiko wa kidakitari Ila kule juu umeeleweka kwa namna fulaniMimi Sina kipato, najitafuta na nnachopata ni kidogo.