please sifa zako tafadhali
una umri gan
rangi yako?
urefu?
uzito?
una watoto?
ushawahi kuolewa?
kazi yako?
mara ya mwisho kupima hiv ni mwaka gani?
Urefu wote huo unatafuta mcheza basket?
Urefu wote huo unatafuta mcheza basket?
Mkuu wawezakaribia pia PM ukauliza na natumai utajibiwa kisha ukapata cha kueleza, si vema kuusemea moyo wa yeyoteHaaa anatafuta breed itakayompa mtoto atakayecheza Basketball USA bana kama Hashim.
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

Hujataja wewe ulivyo,umri,elimu nk upo moshi nini manaaakee mmmmh kuna mwenzie naye anatafuta mke wa kumlea hehehe but kama nakuja vile na Mimi unaninjuaa
Mbona ww ni mwanaume halaf unatafuta mume
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.
Hivi Mbona Mashoga Nao Hawatuulizii Sisi WACHAMBISHAJI au WAZIBUAJI au WATAGISHAJI? au Wamechoka Na Maumivu Tunayopawaga? Wa Liberali Mpo??? Tuulizieni Bhana!
Urefu wote huo unatafuta mcheza basket?