Habari WanaJF, Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu tabia ya baadhi ya wanachama kufanya mzaha kwa watu wanaotafuta wenza wa maisha kwenye jukwaa hili la LOVE CONNECT. Tunashauri Jukwaa hili litumiwe kwa malengo kusudiwa. Mtu mzima hapangwi. Kwa wanaotafuta wenza, tunawakumbusha kuzingatia...