MrNyongeza
Member
- May 20, 2021
- 10
- 9
Aweza kua na lean muscleMkuu kilo zako ni nyingi mno, una kitambi?
Kumekucha kumekuchaa....Amani na iwe nanyi!
Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae
Wasifu wangu
1. Umri : Mtu mzima (Matured)40+ Years
2. Urefu: 5.6 Futi
3. Uzito: 80 Kg.
4. Rangi: Maji ya kunde
5. Kazi: Mjasiriamali
6. Elimu Degreee
7. Polite in nature
8. Hobbies Napendelea Kusoma vitabu (Addicted to reading books)
9. I am a family man na ninapenda watoto
10. Makazi: Arusha
Mwanamke ninaemuhitaji
1. Umri: 28 - 34 years
2. Urefu: 4 - 5 Futi
3: Uzito: 60 - 90 Kgs
4. Rangi: Yoyote
5: Kazi: Awe anajishuhulisha
6: Elimu: Kuanzia form 4
7. Awe mpole
8. Apendelee kuongeza ufahamu wake
9.Lazima awe na mtoto si zaidi ya mmoja..
10. Makazi: Arusha au mikoa ya jirani
kwa mawasiliano zaidi jublant@yahoo.com
Tambua kwamba kila email itajibiwa
Karibuni : my sweetheart ur welcom
Ni mfupi huyo atakuwa na kitambiAweza kua na lean muscle
Kidogo Cha kufutia simu Nafanya sana mazoeziMkuu kilo zako ni nyingi mno, una kitambi?
Hehehe jamani tufikirieni wafupiNi mfupi huyo atakuwa na kitambi
Ha haa hamna tatizo. Nilikuwa nalinganisha urefu wake na uzitoHehehe jamani tufikirieni wafupi
Hahaha hamna kama ana mazoezi atakua na hizo kilo ila mwili ni leanHa haa hamna tatizo. Nilikuwa nalinganisha urefu wake na uzito
Aweke picha kuanzia shingoni kushuka chiniHahaha hamna kama ana mazoezi atakua na hizo kilo ila mwili ni lean
Kwan na ww upo interested?Aweke picha kuanzia shingoni kushuka chini
Yaani hadi kuzaa tunapimana kilo jamani!! Ongeza ongeza hizo kilo basi. Vipi kuna malipo? Au ndio umeanza kupooza kwa kuita "sweetheart"
Hahaha usifanye hivyoAweke picha kuanzia shingoni kushuka chini
Ndio, vigezo vyote ninavyoKwan na ww upo interested?