ARNOLD HENRY
New Member
- Nov 25, 2015
- 2
- 0
Namtafuta mwanamke atakaye jali thamani ya maneno yangu na jinsi mimi nilivyo mwenye mapenzi ya dhati juu yangu.
Yani mtu ajali thamani ya "maneno" serious? Mmmh
Halafu hata jinsi ya kumtafuta mtu wa namna hiyo hajui.....
Kazi tunayo kwa kizazi hiki!!
babu ana domo zege anashindwa sijui nimsaidie kuandika bango lake
Namtafuta mwanamke atakaye jali thamani ya maneno yangu na jinsi mimi nilivyo mwenye mapenzi ya dhati juu yangu.
Namtafuta mwanamke atakaye jali thamani ya maneno yangu na jinsi mimi nilivyo mwenye mapenzi ya dhati juu yangu.
Mwee.......hebu nieleze mwaya........uenda nikakuelewa........nieleze polepole......una maanisha nini unavyosema........JINSI MIMI NILIVYO.........achana na kina asasa........ sumbai........na Evelyn Salt.........hawajui kitu............
Anamaanisha anamiliki roho tu
Sio hivyo bana.......atakuwa na namna mbalimbali.......ila hataki kuweka wazi.......ina maana hata NMB hawamtambui.........?.....
Oooh were kasaidie kumiliki roho