nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,684
- 14,069
Wacheni uzinzi kama mnataka wanawake wa kuoa bc wekeni tangazo kwenye redio humu hamna mwanamke wa kudumu
Sijui tuwaite "ahsante keyboard"Hivi kuna wanaume hawana swagger kabisaaaa!!!
na mie ni mtu mzima na nimekwisha simamia ndoa za watu na ziko imara hata sasa.nakubaliana nawe kuwa siku hizi mapenzi ni ya masha ka lakini hii husababishwa na mengi,ikiwa ni pamoja na wewe.Nynyi hamna kuoa ni waharibifu muoaje hajisifu hata siku moja na kama unataka kuoa bc tafuta watu wazima kwanza watakutafutia mwanamke wa heshima sawa? Lkn sikuhizi hakuna mapenzi kwani vijana wa siku hzi kwanza mpaka waonjane kwanza ndoa baadae jamani tutafika kweli?
utapata mungu atakupa
toa wasifu wko ili utu convince,umri,dini,elimu,kabilaMasai dada nisaidie kumuuliza huko anakoishi hakuna wanawake,,,,,?????
Akisha kuwa mwanamke tu; wa umri huo mwenye akili timamu inatosha,Mungu hakuumba vigezo, alimuumba mwanamke a.k.a Hawa a.k.a Eva kutoka ubavuni mwa Adam