Nahitaji mwalimu wa wa Pure Math A Level

Nahitaji mwalimu wa wa Pure Math A Level

Msololi53

New Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3
Reaction score
7
Habari wana Jamii Forums,

Nahitaji msaada kwa elimu kwa Mwalimu wa Pure Math kwa A' Level. Kwa yeyote aliye tayari ani PM ili tujue tunasaidianaje.

Updates:

Pia Mwalimu wa Geography na Economic kwa A' Level anahitajika.

Location ni Pugu Dsm au Gongolamboto.

Kama yupo ani PM.
 
Habari wana Jamii Forums, nahitaji msaada kwa elimu kwa Mwalimu wa Pure Math kwa A level. Kwa yeyote aliye tayari ani PM ili tujue tunasaidianaje. Location nipo Pugu...
Lete pesa ufundishwe, sio habari za kusaidiana
 
Dogo tafuta tuition anza na topic rahisi, Hizi ndani ya miezi 2-3 umemaliza zote.
Calculating devices
Linear programming
Set
Logic
Statistics
Numerical methods
Coordinate geometry 1
Function
Kumbuka hizo ni topic za wazembe ukishindwa fanya swali lolote kati ya hizo topic hapo juu umeisha
 
Ukimaliza hapo ndio mchaka mchaka wa hesabu unaanza
Anza kusoma Differentiation
Halafu Intergration
Kisha unganisha na Differential Equations
 
Ukimaliza hapo anza Algebra
Uunganishe na Complex Number
Maliza na Coordinate geometry 2

Hyperbolic Function wengi huwa wanaisoma pamoja na Trigonometry function
Nenda kwa mtiririko huo dogo

Heshimu sana topic rahisi ndio zinaokoa,.kwenye maswali ya kuchagua Sikusoma proba na Trigonometry. Nilikomaa na Differential Equations na Coordinate 2 zilinitoa hizo
 
Yaa kuna walimu wakuda hiyo 2016 nilienda tafuta mwalimu kwenye shule kubwa tu anivunjie Trigonometry akanambia 25,000 sikujibu nikasepa.
Ila nilikuja mpata ambae ni kama rafiki hizo topic ngumu alikuwa ananisolvia kwa 10000 rahisi kwa 5000.
Ila now walimu wamejazana kitaa nadhani bei itakuwa imeshuka
 
Kijana safi sana unatamani kupambana zaidi lkn kwa mawazo yangu nunua Scientific calculator!!! Then piga topics hizi kwanza kwa kukupa morali ya kusoma Advanced Mathematics
1. Calculating devices and computer packages
2. Sets theory
3.logic and electrical networks
4. Function
5.Statistics
6.coordinate Geometry 1
Jiassess ukimaliza hizo topics kwanza uangalie unaweza kufanya maswali angalau 8kati ya kumi kwa kila topic na ukawa sahihi?? Baada ya hapo tenga muda soma TRIGONOMETRY kwa undani zaidi usiiiache hii topic na usiiruke hii topic ukaanza kusoma mambo mengine kama calculus (differentiation, Integration na differential equations) baada ya trigonometry soma hizo topic mbili za mwanzo then
1NUMERICAL METHODS
2ALGEBRA
3PROBABILITY
4COORDINATE2
5 VECTORS
6PROBABILITY!!!!


Mwalimu wa maporini!!!!! Karibu Ushetu uone maliasili nyingi zaidi!!!!!
 
Dogo tafuta tuition anza na topic rahisi, Hizi ndani ya miezi 2-3 umemaliza zote.
Calculating devices
Linear programming
Set
Logic
Statistics
Numerical methods
Coordinate geometry 1
Function
Kumbuka hizo ni topic za wazembe ukishindwa fanya swali lolote kati ya hizo topic hapo juu umeisha
mkuu acha kumtisha mwenzio kiasi iko khaaa!!!. Je kama Calculus ndo ataielewa zaidi kuliko izo

Kikubwa kwa Adv. Maths, ukipewa kacocept kadogo basi wewe kachimbue saaanaaa na kusolve saaanaa!, hapo hesabu zitakua rahisi kuliko masomo mengine...
Hamna raha kama ile unaingia kwa paper then unakutana na concept za maswali uliyokwisha solve... yaan unaweza hisi umeziumba wewe

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ukimaliza hapo anza Algebra
Uunganishe na Complex Number
Maliza na Coordinate geometry 2

Hyperbolic Function wengi huwa wanaisoma pamoja na Trigonometry function
Nenda kwa mtiririko huo dogo

Heshimu sana topic rahisi ndio zinaokoa,.kwenye maswali ya kuchagua Sikusoma proba na Trigonometry. Nilikomaa na Differential Equations na Coordinate 2 zilinitoa hizo
Hata mimi pia.. maana trig ilikua inanikera sana, yaan kama swali ulilokutana nalo hujawahi lisolve bora uache tu then ufanye mengine. Kuna mda inaweza kukufariji then ukaanza kwa mbwembwe.....
Utaskia; Consider LHS..
Unaenda unaendaaa, badae unakuta RHS iko tofauti kabisa na ulichopata

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ukimaliza hapo ndio mchaka mchaka wa hesabu unaanza
Anza kusoma Differentiation
Halafu Intergration
Kisha unganisha na Differential Equations
Mshauri aanze na trigonometry kabla ya hizo differentiation, integration na differential otherwise ataona maluelue.
 
Kila kitu huwa ni maelewano kwa pande zote mbili, kama ni kweli unahitaji kunisaidia basi unaweza nifuata PM tukayajenga.
Mimi nilisoma PCB mkuu. Jaribu kuingia kwenye ule uzi wa walimu kubadiloshana vituo vya kazi. Kuna walimu kule wanatafuta kazi.
 
Habari wana Jamii Forums,

Nahitaji msaada kwa elimu kwa Mwalimu wa Pure Math kwa A level. Kwa yeyote aliye tayari ani PM ili tujue tunasaidianaje.

Location nipo Pugu...
Nenda sehem wanapo fundisha twit peleleza ni mwalimu gani yuko fiti then ukimpata muite pembeni muongee.

Ila jiandae maana private inaweza kuwa ghali kidogo.
 
Back
Top Bottom