Unataka mzik wa kutesa majiran au laNiaje Wakuu Baada ya kufanikiwa Kununua laptop kuna kachenji kamebaki.. kama 400K hivi...
Kama una hio pesa nitafute nikupeleke ukaokote mashine ya Adabu. Uje kutoa ushuhuda humuNiaje Wakuu Baada ya kufanikiwa Kununua laptop kuna kachenji kamebaki.. kama 400K hivi....
Untaka na kutumia cdWa kuinjoi binafsi tu mkuu
Unaweza niwekea Samples kadhaa hapa mkuu.Ukitaka kamziki usibabai na ukubwa tafuta kitu chochote cha Sony au LG ambacho ni Hi-Fi sound hapo uta enjoy mkuu
Kwanz google hiyo Hi-Fi sound maana yake ni nini then tafuta hiyo chomba kwa wale wanaaoagiza kitu ya mtumba. New huwezi patA OG kwa bongo. Sijui
Inapatikana wapi bossView attachment 1703273
Chukua hii kitu mkuu hakika hutojutia. Uzuri wa hii kitu subwoofer yake ni wireless unaweza ukahamisha kona yeyote unayotaka.
Inapatikana wapi boss
Inapatikana wapi boss