Nahitaji Mume

Mimi namshukuru mungu mke wangu nilioa kwa elfu 80000, elfu 10000 ya kikao 70000 mahali yake aloitaja mwenyewe mke wangu, baada ya wiki nikafungishwa ndoa yangu usiku msikitini baada ya swala ya saa mbili Morogoro!..mke wangu alikataa kila aina ya mbwembwe alikataa kata kata....kwa Sasa Yuko Nyumbani kwake na maisha yake mashaalah mwaka wa kumi....ananimwagia watoto tu walokuwa wanamcheka kwa sasa wanatafuta hata wakuwatia mimba tu wawatunze ndani hakuna....
Kila mtu ana chaguo lake, huyo anayetaka wa kumzalia aje mtaan kwetu tu atapata mzigo wake, ndoa ni kitu cha kuheshimika sio kujaribisha, afu wakristo hawajaribu ndoa, waislam wanatoa talaka wanaoa hadi wa4 ila wakristo ni one mama at a time, respect marriage..wadada wa kuzalisha tu wapo wengi wanapenda kweli kuzaazaa
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Mhu...
karne hii bhana
"Mtu anachagua Mume
Sifa azingatie zifuatazo.
Awe professor
Awe na kampuni
Asiwe na mtoto
Asiwe na mama
Asiwe na ndugu wa kike
Awe hajawai kuishi na mwanamke
Awe amefaulu somo la science
Ambae hajawai kupata hasara kwenye biashara.
Asiwe na madeni na awe na akiba benk.
Asiwe anakasirika
Akitembea awe mkakamavu
Awe na sauti nene.
Awe na sheli.
Awe na IPhone 6
Pia na simu ndogo
Asiwe anatumatuma sms
Mtoto wa kwanza kwangu anipe wa kiume
Awe na akili kubwa mno.
Awe anatumia maji ya chupa.
Ambae hajawai kutumia maji ya bomba.
 
Mhu...
karne hii bhana
"Mtu anachagua Mume
Sifa azingatie zifuatazo.
Awe professor
Awe na kampuni
Asiwe na mtoto
Asiwe na mama
Asiwe na ndugu wa kike
Awe hajawai kuishi na mwanamke
Awe amefaulu somo la science
Ambae hajawai kupata hasara kwenye biashara.
Asiwe na madeni na awe na akiba benk.
Asiwe anakasirika
Akitembea awe mkakamavu
Awe na sauti nene.
Awe na sheli.
Awe na IPhone 6
Pia na simu ndogo
Asiwe anatumatuma sms
Mtoto wa kwanza kwangu anipe wa kiume
Awe na akili kubwa mno.
Awe anatumia maji ya chupa.
Ambae hajawai kutumia maji ya bomba.
Unalingine?
 
SIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu

SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
Hizo sifa awe nazo zote au awe na moja ya hizo sifa?
Kila la heri
 
Omba Mungu upate mume ndani ya hii miaka miwili ya Magufuli iliyobaki.Ukifikisha 30 tu nadhani utapunguza vigezo,kitabaki kigezo kimoja kuwa awe na jinsia ya kiume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom