financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,360
kila rakheri binti wa kichaga, upate hitaji la moyo wako, usisahau kuleta mrejesho ukifanikiwa
JF naweza pata muoaji mtaani naweza pata wakunichezea


mtoa mada mbona huna sifa ya mwaminifu? veeeeperSIFA ZANGU
- miaka 27
-mkristo
-mchaga
-mwalimu
-sina mtoto
-mweusi
-mwembamba
-mrefu
SIFA ZAKE
-anahitaji mke
-mwenye upendo wa dhati
- mkristo
-muajiriwa/amejiajiri
-degree, masters, dr
-umri 30-39
-mrefu
-rangi yoyote
-mkweli
-muaminifu
alafu wataka mwaminifu veeeperMbona hilo neno hujalimalizia? Unaweza usipte jibuUnavaa Brah size gani...??
Mishajibiwa pm mkuu, hapa wenye wivu wajielekeze kibla tu.....Mbona hilo neno hujalimalizia? Unaweza usipte jibu






Huku kwetu kuna kaulimbiu inasema "Nyumba ni Choo"Ila sifa za mabinti wa kichaga huwa hawana Wezere wezere
Hahahaha hyo ya pm siyo mzri yanatia shakaMishajibiwa pm mkuu, hapa wenye wivu wajielekeze kibla tu.....![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana mi sio mwanamke njaaMimi nipo tiyari but usiwe mwanmke njaa pedi ikakushinda kununua.