Nahitaji mume wa Kiislam

atoto njoo upewe kadi ya harusi.

Hivyo vitisho vyake nimevizoea mbona!! Huyo mbunge mara aseme amempata mara aseme anatishia, mpe heko zangu mwambie nasubiri kadi na sare tashona.
 
Last edited by a moderator:
Dah tatizo apo ni umri,ila km VP nipe ilo zali LA kimentali
 
Nafkr 2yajenge huenda nikakufaa.
Ni Pm please!
 
mama njoo ila onyo usije ukaniumizaa ...maana nikashapenda mimependa
 
am gentlemen mrefu Wa wastani
elimu degree ya ba
nipo single sina mtoto
presentable man with a vision
naomba nikujue kwanza
pia ni muslim
 
Dah! tatizo umetaka mwenye umri mkubwa hebu shusha kidogo then nikupm
 
nina vigezo vyote, tatizo mhh wanawake wembamba sana nao balaa hamna hata nyama za kushikashika bana

Kama upon serious njoo pm mume yupo njiani
 
Usitafute mume kwa kigezo cha dini, wewe tafuta mume atakayekuridhi maisha yako. Huwezi kujua mungu kakuandikia nini. Dini zipo na bado watu wanatenda dhambi.
 
Nina vigezo vyote niPM haraka usije kupoteza bahati.

Mwanaume wa kiislamu mwenye umri kuanzia 35 ni vigumu kumkuta hajaoa sana sana atakudanganya akuoe mke wa pili
Kuwa makini
Hope umejipanga kukabiliana na matapeli
But kama uko tayari kuwa mke wa pili sio mbaya pia kwa umri wako
 
Mbona mimi bado sijaoa acha kutupeperushia ndege.

Utakua sio muislamu
Na kama muislamu umetaliki na idadi ya watoto ni kubwa kulingana na uhitaji wake muombaji
Kama unaona umekidhi vigezo si umtafute
Mi nmetoa ushauri tu
Kazi kwa muombaji
Wanasema akili za kuambiwa changanya na zako
 
Ina maana hajaona bandiko langu la kumbembeleza acha hizi wengine tuko kikazi zaidi bahati kama hizi haziji mara mbili.

Utakua sio muislamu
Na kama muislamu umetaliki na idadi ya watoto ni kubwa kulingana na uhitaji wake muombaji
Kama unaona umekidhi vigezo si umtafute
Mi nmetoa ushauri tu
Kazi kwa muombaji
Wanasema akili za kuambiwa changanya na zako
 
Mwanaume wa kiislamu mwenye umri kuanzia 35 ni vigumu kumkuta hajaoa sana sana atakudanganya akuoe mke wa pili
Kuwa makini
Hope umejipanga kukabiliana na matapeli
But kama uko tayari kuwa mke wa pili sio mbaya pia kwa umri wako

Uislamu ni pamoja na wake wengi, angesema tu nataka mume .
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…