Hebu ni-Pm tuyamalize faster achana na hao wengine sio waoaji!
KUWENI MAKINI VIJANA, ANGALIENI HAPA CHINI, MTAJA LIA NYIE;
Mlima meru
8th February 2013 20:39
#1
Senior MemberArray
Join Date : 30th December 2012
Posts : 115
Rep Power : 463
Likes Received
16
Likes Given
9
[h=2]
Kuna msichana muislam anayetafuta mume?[/h]
Wapendwa,
Nilitoa tangazo langu hapa la kutafuta mke mwema. Ukweli nilipata watu wengi walio positive mainded ila shida ikawa ni Dini.
Mimi ni muislam hivyo nahisi nikipata msichana wa kiislam aliyesoma vizuri (mfanya biashara au muajiriwa) nitamfanya awe mke wangu.
Napendelea awe na umri wa miaka kati ya 30 - 34.
· Awe mrefu wa wastani (150 hadi 165cm)
· Akiwa na bantu figure ni added advantage
· Akiwa pia mzaliwa wa kilimanjaro ni added advantage
· Kama anaweza kuongea kichagga cha
kishumundu au Kipare cha ziwa jipe na kiingereza cha Marekani pia nitapenda sana.
· Awe presentable na anaye weza kuongea mbele ya watu
· kama anaweza kuendesha Vokswagen model ya 1972 ni poa sana kwani mimi napenda magari ya zamani
Kama yupo mwenye sifa naomba ani pm nitampa namba yangu ya BBM au Whats up tuchat
Last edited by Mlima meru; 8th February 2013 at 20:55.
Mlima meru
20th February 2013 20:36
#21
Senior MemberArray
Join Date : 30th December 2012
Posts : 115
Rep Power : 463
Likes Received
16
Likes Given
9
Re: Beautful and Smart Lady is needed
Frankly, I am a gentleman but I loved the way you put your words.
I am sure a lady who will fit your specification will be a perfect wife.
I will love to copy something from your post...when you are done.
Big up man... you made it!!!
https://www.jamiiforums.com/love-co...a-30-na-upo-single-inakuhusu.html#post5800848