Nahitaji mume mwenye hofu ya Mungu

Nahitaji mume mwenye hofu ya Mungu

Joined
Feb 26, 2015
Posts
41
Reaction score
14
Mimi ni mjane nina watoto 3, nina miaka 43, ni mfanyakazi nina hofu ya Mungu. Nahitaji mume ambaye ana watoto pia awe mcha Mungu na mwenye shughuli halali ya kumuingizia kipato. Umri wake ningependa anizidi mimi.

Naamini mume ni zaidi ya rafiki

Karibu uliyetayari
 
naam nipo bibie.Niko safi na pia nina watoto sina mke tafadhali ni pm
 
nashukuru kwa ushauri. naamini ukimtanguliza mungu ktk maisha huwezi kuangukia pua. atakuongoza.
 
Mimi ni mjane nina watoto 3, nina miaka 43, ni mfanyakazi nina hofu ya Mungu. Nahitaji mume ambaye ana watoto pia awe mcha Mungu na mwenye shughuli halali ya kumuingizia kipato. Umri wake ningependa anizidi mimi.

Naamini mume ni zaidi ya rafiki

Karibu uliyetayari
Kila la kheri dada yangu na Mungu akupe sawasawa na hitaji la moyo wako ....!
 
Hivi wachungaji si wameruhusiwa kuoa, kama hujapata jiwekee mazingira ya ki mama mchungaji, huko hofu ya mungu ni full.
 
hayo ni mawazo yako wewe jogi. hakuna sehemu maalum ya kumpata mwenza. mungu ndiye hukutanisha watu hapa duniani. hata kwenye daladala watu wanaweza kukutana wakaoana. cha msingi ni kujitambua. hata wewe unapaswa kuwa na hofu ya mungu hukujiumba wewe. huku jf wapo wenye hekima ambao hawana upuuzi kama unavyofikiri. wanashauri watu vizuri na kwa busara wanasonga mbele.
 
Mimi ni mjane nina watoto 3, nina miaka 43, ni mfanyakazi nina hofu ya Mungu. Nahitaji mume ambaye ana watoto pia awe mcha Mungu na mwenye shughuli halali ya kumuingizia kipato. Umri wake ningependa anizidi mimi.

Naamini mume ni zaidi ya rafiki

Karibu uliyetayari

Naamin mungu yu upande wako hakika upate hitaji la moyo wako
 
Mimi nipo tayari nitumie namba zako inbox, changamoto ni mdogo kidogo kwako. Ni mtumishi kanisani kwetu niliachana na mke wangu majuzi tu baada ya tabia yake ya kununa kuzidi.
 
Nimefurahi you decided to take a step forward badala ya kusubiri muujiza. Mungu atajibu haja ya moyo wako
 
Amen...... na Mwenyezi Mungu akutimizie haja za moyo wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom