Kweli hayo ni maneno ya biblia lakini hujawa mke! Mke mwema hutumia busara kwa kila jambo mbona watumia neno BASI ACHA inaashilia wewe ni mtu wa kudhira kwa vitu vidogo! wewe unanipenda? je uko tiari nikuoe?
Ahaaa ahaa unajua huwezi penda bila kuona ndio maana nikasema sijui kama ntakupenda but sure kama una hizo sifa nilizotaja niprivate?

Ahaaaa ahaaaa he he he te teh teh kumbe nimekubali tuufunge HIVI nyie midume kama mimi kwanini si wastaarabu mnamprivate mtu mpaka kero kila mtu anataka kupiga mambo tu hapo hamna jipya na nyie kwa kutaamani hata msivyo vioona haya TUUFUNGE!
Muda wa kumulikana na tochi sasa ili huyo mume apatikane,maanaa bila hvyo miaka itaenda itarudi hajapatkana. Tujipangeni foleni jaman apite kuchagua¿???????
Nahisi unataka kutendwa vilivyo,,,ww huku jf nan kakuambia kuna mume mwema,,!!??acha kufnya promo mapenz c biashara dada angu,,kaa chini muombe Mungu wako na usubrie matokeo,,kwani Mungu hamtupi mja wake...!!