Nahitaji mume muislamu

Nahitaji mume muislamu

MDOM

New Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Mimi ni muislamu na mwajiriwa wa serikali,

Nina miaka 37 na mtoto mmoja wa kiume,

Ninahitaji mume mwislamu kuanzia miaka 38-50,

Ninaishi Dares salaam,
kwa aliyetayari tuwasiliane kwa namba 0719 470666 au 0788 598855
 
  • Thanks
Reactions: HMS
mimi ni muislamu na mwajiriwa wa serikali
nina miaka 37 na mtoto mmoja wa kiume
ninahitajimume mwislamu kuanzia miaka
38-50, ninaishi dares salaam
kwa aliyeayari tuwasiliane kwa namba
0719 470666 au 0788 598855

me nina miaka 29 unasemaje?
 
Kila la kheri dada,miaka mingine hii ulikua wapi?(Just kidding)
 
Aise wasichana muwe waangalifu na maisha sana..
 
mi dada nakushauri usichague dini wanaume wa kiislam ni vigumu kuwapata ,i mean wapo wachache ukilinganisha na wakristo trust me
 
Kwa mwenye kuhitaji mke mwenye sifa kama hizi atafanya kila awezalo ili waonane, humu ndiyo watu huwa wanaonana kwa wale ambao hawaoni pingamizi lolote la kuonana na ndoa zimeshafungwa humu.

kwani humu wanaonana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom