Nahitaji Mume Muislam

Nahitaji Mume Muislam

Salaam, mm n mwanamke miaka 28,elimu yang ni S hahada ya kwanza pia ni mwajiriwa.nahitaji mume muislam (si muislam jina) mwenye kipata cha halali.umri kuanzia miaka 30-33.

Hao wako Iran (wale wanaojiua bila sababu) na Saudi Arabia (wale wanafiki ambao wanajiona wao ni miungu watu na hakuna viumbe wengine Zaidi yao). Hongera kwa chaguo lako.
 
Salaam, mm n mwanamke miaka 28,elimu yang ni S hahada ya kwanza pia ni mwajiriwa.nahitaji mume muislam (si muislam jina) mwenye kipata cha halali.umri kuanzia miaka 30-33.
Ni pm tuongee vizuri inshaallah
 
28 na 33 mambo hayaendi kwa kiwa 33 hajamaliza ujana,afadhali ungesema mpaka 40 angalau,anyway,subiri ila kwa vigezo vyako usiwe na mategemeo unless uedit tangazo
 
Utapata tu mwaya mimi nimekosa kigezo cha dini lakini ningekutafta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom