Nahitaji mume miaka 40-70

Nahitaji mume miaka 40-70

Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.

Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan Abdallah, nahitaji mume miaka 40-70 ambaye anajua wajibu na majukumu yake kwa mwanamke wake, familia yake.

Nicheki WhatsApp kwa ajili ya maongezi zaidi. 0711297086.
Sawa Sawa. Inapendeza sana
 
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.

Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan Abdallah, nahitaji mume miaka 40-70 ambaye anajua wajibu na majukumu yake kwa mwanamke wake, familia yake.

Nicheki WhatsApp kwa ajili ya maongezi zaidi. 0711297086.
wenye 30 je
 
Ni mdada wa Makamo tu lika la kina Kimambi au Kajala, sema njaa imepiga na vijana hawaongi tena nae anataja kumaintain urembo😁
 
Nimevuka 60 ila mafao yote ya watoto na mijengo nimeisha wagawia
Kama utakubali unisaidie shambani njoo tu niwe active kwa mda mchache uliobakia
 
Baada ya kulizwa na wanyoa viduku ndio umeamua kuwageukia wababa 😁😁😁
 
Shida nayoiona wanaume wengi sasa wanapenda kulelewa sasa hapa utapata Mario umlee wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom