Nahitaji mume bora

Nahitaji mume bora

Kama upo tayari kua mke wapili karibu sana me sina tatizo
 
^^
Mwenye pesa
Anaekuridhisha
Hana kibamia
Mcha Mungu
Msomi
Mpole daima
Anaejitegemea
Mwaminifu
Handsome
Anaekubalika kwa rafiki zako
Mkweli
Mtunza familia
Anaejali hisia zako
...
ANAKUJA DADA, usiwaze
^^
 
Wanakuja, ila kila mtu ana vigezo anavyoangalia kama wealth n.k tupe vigezo vyako.
 
sifa:
  • awe na hofu ya Mungu na anayeheshimu wazazi pia.
  • awe na hela
  • awe na mawazo mazuri na anafikiri mbali siyo urefu wa pua yake
  • awe anajitambua
  • awe anajipenda ana kupenda jamii inayomzunguka
  • awe anapenda watoto.
  • awe anajua kucheza michezo yote
  • awe anaweza kunifanya nifurahi mda wot
  • awe anajua kubembeleza
  • awe na huruma
  • awe ananibeba nikitaka kubebwa
  • awe ananidekeza
  • awe ananipa hela though si lazima
  • awe funy na awe rafiki pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom