Jifunafu
Senior Member
- May 25, 2020
- 182
- 607
Ndugu wanajanvi Salaam,
Nahitaji mtu alie na shamba tushirikiane Mimi nitaweka nguvu zangu na usimamizi asilimia zote endapo yeye atakuwa na majukumu mengine.
Lengo langu ni kupambana na kupata mtaji. Napendekeza zaidi katika kilimo Cha mazao kama vile Mahindi na Mananasi kwani hapo ndo nina uzoefu. Endapo hata atapatikana wa mazao mengine nipo tayari kushirikiana.
Nipo serious Kwa hili ndugu zangu Wala sio utani. Lakini tambua Mimi Sina mtaji wowote nitakaowekeza zaidi ya nguvu zangu na akili pia, niatii mtu Alie na malengo ya kimkakati.
Napendekeza zaidi akipatikana katika mazao ya Nanasi, kwani ni zao ambalo nimewahi kulima na nikaona faida zake, nipo niliyumba kiuchumi nikaacha kulima lakini niliona matokeo na faida zake ni raisi kutajirika mapema endapo utaamua kuwekeza vizuri.
Nipo tayari kuishi shamba Kwa muda wote wa kazi. Aliye tayari njoo kwenye Box tujadiliane Kwa ufasaha.
Narudia tena nipo serious Kwa hili.
Asante sana, nawasilisha.