G gindugrace New Member Jun 4, 2013 1 0 Jun 17, 2013 #1 Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,061 94,201 Jun 18, 2013 #3 Wahitaji jambo gani la kuoneshwa? gindugrace said: Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu Click to expand...
Wahitaji jambo gani la kuoneshwa? gindugrace said: Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu Click to expand...
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,797 Jun 18, 2013 #4 Unalipa sh ngapi? Lengo ni kupata certificate of jf ama diploma? Kuwa wazi basi.
Globu JF-Expert Member Jan 12, 2011 8,576 2,073 Jun 18, 2013 #5 gindugrace said: Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu Click to expand... watu8. amekupa offer hapo, vile vile yupo Mkuu Katavi na Ulimakafu watakuja kukuongoza. Karibu JF. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
gindugrace said: Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu Click to expand... watu8. amekupa offer hapo, vile vile yupo Mkuu Katavi na Ulimakafu watakuja kukuongoza. Karibu JF.
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,061 94,201 Jun 18, 2013 #6 Loh! watufukuzia wageni hivyo... King'asti said: Unalipa sh ngapi? Lengo ni kupata certificate of jf ama diploma? Kuwa wazi basi. Click to expand...
Loh! watufukuzia wageni hivyo... King'asti said: Unalipa sh ngapi? Lengo ni kupata certificate of jf ama diploma? Kuwa wazi basi. Click to expand...
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Jun 18, 2013 #7 gindugrace said: Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu Click to expand... Soma hapa mkuu...................JamiiForums Disclaimer and Rules
gindugrace said: Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu Click to expand... Soma hapa mkuu...................JamiiForums Disclaimer and Rules
warumi R I P May 6, 2013 16,273 18,383 Jun 18, 2013 #9 Humu uvumilivu ndugu,ukitukanwa unauchunwa tu,ukijibu unapigwa ban na wewe,ukijifanya unajua bas humu ndo utajuzwa vizur,sawa?? ,ukitukanwa we nyamaza tu
Humu uvumilivu ndugu,ukitukanwa unauchunwa tu,ukijibu unapigwa ban na wewe,ukijifanya unajua bas humu ndo utajuzwa vizur,sawa?? ,ukitukanwa we nyamaza tu