nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje hapa jf


G

gindugrace

New Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
1
Likes
0
Points
0
G

gindugrace

New Member
Joined Jun 4, 2013
1 0 0
Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,849
Likes
3,623
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,849 3,623 280
Karibu sana JF...
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,677
Likes
2,791
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,677 2,791 280
Unalipa sh ngapi? Lengo ni kupata certificate of jf ama diploma? Kuwa wazi basi.
 
Globu

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Messages
8,095
Likes
303
Points
180
Globu

Globu

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2011
8,095 303 180
Habari zenu naitwa gindu mi ni mgeni humu jf nahitaji mtu wa kunionyesha mambo yanakwendaje humu

watu8. amekupa offer hapo, vile vile yupo Mkuu Katavi na Ulimakafu watakuja kukuongoza. Karibu JF.
 
Last edited by a moderator:
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
20,359
Likes
1,845
Points
280
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
20,359 1,845 280
Karibu sana JF mkuu...
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,212
Likes
6,653
Points
280
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,212 6,653 280
Humu uvumilivu ndugu,ukitukanwa unauchunwa tu,ukijibu unapigwa ban na wewe,ukijifanya unajua bas humu ndo utajuzwa vizur,sawa?? ,ukitukanwa we nyamaza tu
 
bily

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
8,054
Likes
4,147
Points
280
bily

bily

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
8,054 4,147 280
Karibu mkuu anza na sheria hapo juu
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,742