Nahitaji mtu wa ku share nae biashara

Nahitaji mtu wa ku share nae biashara

Nautico

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2017
Posts
345
Reaction score
804
Habari za wakati huu wana jukwaa

Nahitaji kupata mtu kwa ajili ya kufanya nae biashara joint kwenye shughuli za uchimbaji

Nina uzoefu wa miaka 2 kwa sasa,nikiwa namiliki duara kadhaa,miaro ikiwa na crush(garasha),mashamba yenye uwezo wa kuchimba

Napatikana mkoa wa Mara wilaya ya Bunda

Ninae mhitaji walau awe na mtaji unaoanzia walau 50m aje tufanye kazi ya kuzalisha marudio (vifusi)

Ukiwa na mtaji huo wa 50m uhakika baada ya Mwaka unaweza kupata kuanzia mara 2 na kuendelea

Ukivutiwa tuwasiliane,uje uone kwanza then hatua zingine zinafuata baada ya kujiridhisha

Nipigie 0623086089
 
aah home boy
 
Pamoja na kuwa na vision,dhamira nzuri katika project yako sikushauri kufanya biashara ya ubia Tanzania kwani ni pasua kichwa na mara nyingi huishia pabaya. Bora utafute other alternatives kama loan ufanye mwenyewe
Asante kwa ushauri,akipatikana tunaandikishana kisheria makubaliano yetu!
 
Kwa bahati mbaya sana Watanzania hawana utamaduni wa kuheshimu sheria nadhani kwakua wanajua wanaweza wakanunua hukumu. Naongea hii kwa kuzingatia experience yangu binafsi. Swala la ubia liwe ni option yako ya mwisho kabisa kuwa ukikutana na matokeo usiotarajia hutakuwa na lakupoteza .
 
Sahihi mkubwa
 
Back
Top Bottom