nahitaji mtu proffesional wa ICT

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
habari wakuu,
ofisin kwangu kuna watu waliiba computer na kwenda kufuta kila kitu,sasa kuna baadhi ya watu wa IT wameweza kurudisha baadhi ya documents lkn kuna baadhi hazifunguki na hawajarudisha zote.naomba msaada wa hilo kwenu wataalam,ni pm kama unaweza.asante.
 
Kama hdd waliiwipe yote halafu mtu akarufisha yale mafile sio yote yatakayofunguka hadi kuwe na software za kufungulia.

Mfano mafile ya pdf hayatafunguka hadi udownload adobe reader.

Pia inawezekana yakawa hayajarecover file zima hivyo linakuwa kama limecorupt.

Goodluck
 


Si rahisi kurudisha ma faili yote na yakafunguka. Especially xls files zinarudi zikiwa corrupted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…