Nahitaji mtu anayeweza kusoma location kwa kutumia namba ya simu

ATTENTION
***************

MIGAMBO YA JIJI WANAOTUMWA KUKAMATA WATU WANAODONDOSHA TAKA POSTA,M/MMOJA,MWENGE NA KWINGINEKO,WAO KUSHIRIKIANA NA MABOSI WAO MARA WAKAMATAPO WAHUSIKA HIWAKAMUA FEDHA,KI UHALISIA FINE ILIPASWA KUWA 50,000/-,LAKINI WAO HUKAMUA KATI 40,000/- NA 30,000/- NA BILA AIBU YOYOTE PESA ZOTE WANAZOKUSANYA HAWATOI RISITI YOYOTE NA HUGAWANA FEDHA ZOTE KIFISADI,HIVYO JIJO NA MAMLAKA HUSIKA HIKOSA PATO NONO LINALOKARIBIA MIL 3-5 KWA SIKU.
::WAHUSIKA WALITAZAME HILI.
::WAJANJA WANAZIDUNDA TU HIZI HELA KOLA SIKU.
 
Tulia uandike kwa utulivu boss, unaandika kama vile unawahi papuchi sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ATTENTION
***************

MIGAMBO YA JIJI WANAOTUMWA KUKAMATA WATU WANAODONDOSHA TAKA POSTA,M/MMOJA,MWENGE NA KWINGINEKO,WAO KUSHIRIKIANA NA MABOSI WAO MARA WAKAMATAPO WAHUSIKA HIWAKAMUA FEDHA,KI UHALISIA FINE ILIPASWA KUWA 50,000/-,LAKINI WAO HUKAMUA KATI 40,000/- NA 30,000/- NA BILA AIBU YOYOTE PESA ZOTE WANAZOKUSANYA HAWATOI RISITI YOYOTE NA HUGAWANA FEDHA ZOTE KIFISADI,HIVYO JIJO NA MAMLAKA HUSIKA HIKOSA PATO NONO LINALOKARIBIA MIL 3-5 KWA SIKU.
::WAHUSIKA WALITAZAME HILI.
::WAJANJA WANAZIDUNDA TU HIZI HELA KOLA SIKU.
Hao jamaa wanafanya uhuni sana, pale anatoglo kwakweli pamegeuka pango la wanyang'anyi, Mkuu wa Mkoa aliangalie hili upya.

Hao vijana wanaokamata watu wengine ni vijana waliokosa ajira na wanapewa asilimia 20 ya fedha za faini.
 
Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano, inachapa kazi kweli kweli. CCM "hoye"
 
Kuna app kadhaa Google play,juzi Niko kitandani nimekaa nikadowload moja,Kisha nikaweka namba ifanye location,ikanipa location asee kwa Google map,nilichoshangaa inaandika sitting na Ni kweli wakati naserch nilikua nimekaa kitandani,
Nikajaribu kulocate namba ya jamaangu Yuko Moro,ikaniambia processing,then ikanipa link nitume kea jamaa akiclick tu,kitu kinajibu,
Nadhani Kuna sheria huko majuu zinataka ili mtu kumuallocate lazima aridhie,
Hizi app hutumiwa Kati ya marafiki,ndugu na jamaa ku keep tab ya location zao,miongoni mwao,
Ila ukitaka umlocate bila kujua sharti kutumia mbinu zingine ambazo zinaumiza kichwa lazima uwe mtaalamu wa IT
 
Ziko app kadhaa za kufanya hiyo kazi ila ni za india na results zake zitaoesha india. App utakazozipata kwa hii ishu ni za wahindi.

Kwa huku kwetu uwezekano huo wamepewa polisi.

kwa hiyo fanya juu chini upate mtu wa polisi cyber crime akusaidie
 
Kama una laptop yenye space nzuri,unadownload Kali Linux programme,ukajieducate mwenyewe namna ya kumhack huyo unaetaka kujua location yake,ila inataka mda na concetration
 
Kama sio mwanamke huyo unaye mtrack, sijui dah wivu utakutesa sana ww mpaka umefika huku.
 
Back
Top Bottom