- Thread starter
- #21
roho inakuuma mkeo kashaliwa.
Hahahaha hapana tunaaminiana asilimia zote
roho inakuuma mkeo kashaliwa.
Afadhali!Wala sio mapenzi ndugu.. ni shida nyingne japo nmeshapata msaada
Fika kituo cha polisi kilicho karibu jieleze endapo unakesi ya msingi utafungua jalada na maafisa polisi kitengo cyber crime watakupa support.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio mapenzi ndugu.. ni shida nyingne japo nmeshapata msaada
One mobile locater.Habarini, natafuta mtu anayeweza kusoma location ya mtu kwa kutumia namba ya simu nina shida ya haraka, ntamlipa.
mkuu nimetest hii app kila nikisearch inanipeleka Dodoma nimekosea wapiOne mobile locater.
Kuna wakati ni kosa la kisheria , hivyo mamlaka zinadhibiti maana ni kuingilia faragha za mtu. Itoshe tu kwa kifupi.mkuu nimetest hii app kila nikisearch inanipeleka Dodoma nimekosea wapi
Mambo vipnmeshapata